HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 21, 2015

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUDONDOKA GHAFRA KANDO KANDO YA BARABARA ENEO LA UHASIBU JIJINI MBEYA



Mtu mmoja mkazi wa pambogo alietambulika kwa jina la Baba Lugano afariki dunia mchana huu mara baada ya kudondoka ghafla katika eneo la mafiati njia panda karibu na chuo cha uhasibu jijini Mbeya, mashuhuda wa tukio hilo wamezungumza na mwandishi wetu na kuseme kuwa, mtu huyo alikuwa katika mtembezi yake akiwa amebeba mfuko akitembea kando kando ya barabara na kuanguka ghafla kutokana na kupata kizunguzungu hatimae mauti kumfika akiwa amedondoka chini.picha na Fadhiri Atick wa globu ya jamii Mbeya. 
                             Baadhi ya mashuhuda kwenye tukio hilo.
 watu wakiwa katika tukio hilo wakijaribu kuwasiliana na ndugu wa marehemu.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad