HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 17, 2015

MDAU ANUSULIKA BAADA YA KUPIGA MWELEKA NA PIKIPIKI KATIKATI YA BARABARA.

 Mtu mmoja akoswa koswa na gari baada ya kupiga mweleka na pikipiki yake katikati ya barabara eneo la mafiati jijini mbeya ambaye hakuweza kufahamika kwa majina kutokana na pilika pilika za kumuokoa na kumuwaisha hospitali kuajili ya matibabu.
   baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka mdau huyo kwenye gari kuajili ya kumpeleka hospitali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad