HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 17, 2015

HIVI NDIVYO TUNAVYO JIVUNIA VIPANDWA VYETU.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa bila dogo ilifanikiwa kunasa na kushuhudia jinsi ambavyo vipandwa mbalimbali vinavyo shurutishwa kwa shughuli za hapa na pale.picha na Mtaa kwa Mtaa blog.
 ona gogo hilo lilivyo kidhibiti kipandwa cha mdau huyu mtaa wa nanii pale pale.
  laiti kama kipandwa hicho kingekuwa kinaongea una fikili kinge sema nini hapo??
                                        mbamba nsilili tayari kwa myendoo.
                        masela nao hawapo mbali na matumizi ya vipanwa vyao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad