Mdau nanihii akirejea homu huku viatu mkononi, hii ni kutokana na hali halisi ya njia zetu huku Mtaani katika kipindi hiki cha mvua.Hivyo kama ni mgeni huku kwetu, basi fahamu kwamba hivi ndivyo tunavyotembea.
No comments:
Post a Comment