HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 8, 2015

MCHUMA UKIPIGWA CHATA MPYAA.

 Wazee wa masafa marefu leo wakiwa wameamua kupiga chata mpyaa kwenye kioo cha mchuma huo ili kupendezesha na kuwa na muonekano mng'aavu pindi wajitapapo barabarani.
 mmoja akiendelea kupachika chata hilo huku mwengine akitupia kijicho kwa mbali kucheki muonekano wake jinsi unavyo meremeta mchuma huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad