Wajasiliamali wakiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo cha mabasi cha Posta mpya Jijini Dar es Salaam
Mayai ya kuchemsha na juisi za kopo ndio mwake asubuhi
Baadhi ya wajasilimali wakisubiri wateja kuwahudumia.
konda wa daladala akipata kifungwa kinywa leo asubuhi katika kituo cha Posta jijini Dar.
(Picha zote na Emmanuel Massaka, Mtaa kwa Mtaa Blog)
No comments:
Post a Comment