HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 20, 2015

KWELI TUTADUMU NA HIZI BARABARA ZETU KWA MATUMIZI HAYA??

 Nikiwa katika mizunguko yangu ya kawaida hapa jijii Dar, Nilibahatika kupita barabara ya Kawawa katika eneo la Kinondoni Mkwajuni na kukutana na basi hii ikiwa na Abiria ndani yake ikijilazimisha kupanda kwenye kibaza cha pembeni ya barabara ili kuingia laini ya katikati ambayo itakuwa maalum kwa mabasi ya endayo kasi, baadae ilifanikiwa na kuendelea na safari zake.
 Hilooo limefanikiwa kubanda.
 Haya lileeee likiendelea na safari zake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad