HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 28, 2015

KIMPANGO WETU.

 Wazee wa digitali Dstv leo walipo katiza katika mitaa yetu korofi huku wakakumbwa na janga la pancha iliyotokana na msumari korofi kabisa ulio penye kwenye taili la mbele la gari hiyo kama ilivyo naswa na kamera yetu  mitaa ya mafiati kwenda mwanjerwa jijini mbeya. 
 Deleva wa gari hiyo na baadhi nya wafanyakazi wenzie wakiangalia ustahalabu wa kujiongeza juu ya tatizo kumbwa.
baada ya kujiongeza kumpata mtaalamu katika mtaa huo ambae anaujuzi mkubwa wa kutibu matatizo kama haya "ila uhenda yeye ndie mtegeshaji wa mitego hiyo mtahani hapo".

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad