HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 20, 2015

HIKI NI KILINGE CHA MAPUMZIKO YA VIJANA HUKU CHANGANYIKENI KWETU.

 Mtaa kwa mtaa kama kawaida kila kunapo kucha kukujuza yaliyo jiri mitaa mbalimbali na kuku nasia taswirazz kupitia kamera yetu leo katika ziara fupi mitaa ya changanyikeni na kuwakuta vijana kadhaa wakiwa katika mapumziko kwenye kilinge chao cha vijana mtaani hapo wakiwa wameuchapa usingizi wa nguvu ikiashiria kazi walizo zifanya ni za kukesha bila shaka.picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
   vidume vikiwa fofofooo kwa usingizi wa mchanaa wenye njozi za kufariji kwenye kitanda murua ambacho ni ofisi yao pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad