HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 7, 2015

HIKI KIGOGO MBONA CHAMTOTO KWA MDAU HUYU.

 Huyu ndio job wa kitaa akiwa katika harakati za kujikumbushia na si kupasua kigogo kimoja kama ilivyo kuwa ada kipindi cha nyuma kwa utaalamu alio nao anaweza hata kumaliza misitu miwili ya magogo kwa siku moja tuu.
                          mambo ya job wa kitaa kukiadhibu kigogo yakiendelea.
  "kimeisha hiki niandalieni vingine vitano kama hivi mmesha niingiza katika mudi sitaki kupoa apa"

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad