Kamera ya mtaa kwa mtaa bila kuchelewa kunasa taswira ya mdau akiwa amepitiwa na usingizi wa kufa mtuu pembezoni mwa duka la nanii huku akiwa amepozi kwa pozz la mguu juu mguu chini.
ghafla swaiba zake wakatia guu pale na kumuamsha kumtaka awapigie kazi kwani mdau huyo ni mtaaramu kwenye ubunifu flani lakini alimaindi walivyo muamsha kwani alikuwa mbali sana kifikra.
Tuesday, April 7, 2015

Home
Unlabelled
HII NDIO TABU YA USINGIZI HUKU KWETU.
HII NDIO TABU YA USINGIZI HUKU KWETU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment