Hii ni hali ya hatari lakini ndio wakazi wa hapo wanacho jivunia kwa utupaji wa taka hovyo hovyo kama jinsi ionekanavyo hali hiyo hapo juu pichani, ni katika eneo la shule ya msingi Maanga jijini Mbeya ingawa wamepewa madampo mawili lakini hali ni mbaya zaidi kwa wakazi wa eneo hilo kutupa taka bila mpangilio wowote na hali hii ikidumu takribani mwezi mmoja sasa na hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa bali kuangaliwa tatizo hili na kuendelea kuwmaga taka taka kiholela.picha na Mtaa kwa Mtaa blog.
hivi ndivyo paonekanavyo kwa mbali wanajivunia kwa kuwa mabingwa wakutupa taka ovyo ovyo na kuwa na madampo mawili.
No comments:
Post a Comment