Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika kata kata na pita pita zake, iliibukia katika Kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Kilwa Mkoani Lindi na kunasa taswira hizi za dogo (jina lake hata kapuni halipo) akikumbukia kupiga mbizi kwenye Beseni chakavu. lililokuwa nje ya nyumba moja kijijini hapo.Daahhh.... kumbe kuna raha sana ya kukumbukia utoto.
No comments:
Post a Comment