
Meneja Masoko wa maduka ya Woolworths Tanzania,Edwina Barongo akisisitiza jambo kwa wateja waliofika katika Uzinduzi wa punguzo la bei ya bidhaa zote zinazouzwa katika Maduka yote ya Woolworths yaliyopo Arusha na Dar es Salaam, Punguzo hilo litadumu kwa muda wa wiki Nne ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

Meneja Mkuu wa kampuni ya Woolworths Tanzania, Joehans Bushiri akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa punguzo la bei kwa bidhaa zinazouzwa katika maduka yote ya Woolworth, kwa kipindi cha wiki Nne ikiwa ni sehemu ya ponguzo la kununua bidhaa bora kwa kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka.Hafla ya uzinduzi ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi (Loyal Customer) Manfred Ngantunga (kulia) akizindua duka la Woolworths lililopo mtaa wa Ohio jengo la PPF Tower ikiwa ni sehemu ya kuzindua punguzo la bei nafuu kwa bidhaa zinazouzwa na kampuni hiyo katika maduka yaliyopo Arusha na Dar es Salaa.Katikati ni Meneja Mkuu wa Woolworths Tanzania Joehans Bushiri na Mkurugenzi wa fedha Samson Katemi(kushoto).Uzinduzi huo wa Punguzo la bei kwa asilimia 50 utadumu kwa muda wa wiki Nne ulifanyika jijini Dar es Salaam.

Mteja wa muda mrefu wa bidhaa zinazouzwa kwenye maduka ya Woolworths (Loyal Customer) Manfred Ngantunga (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi na Meneja Mkuu wa Woolworths Tanzania Joehans Bushiri wakiingia ndani ya duka hilo mara baada ya uzinduzi wa punguzo la bei la bidhaa zinazouzwa katika maduka hayo.Kushoto ni Mkurugenzi wa fedha Samson Katemi hafla hiyo ya Punguzo la bei kwa asilimia 50 ilifanyika jijini Dar es Salaam itadumu utadumu kwa muda wa wiki Nne.

Mteja wa muda mrefu wa bidhaa zinazouzwa kwenye maduka ya Woolworths ambaye pia alikuwa Mgeni rasmi Manfred Ngantunga (katikati) akikabidhiwa zawadi na mfanyakazi wa duka hilo, baada ya kuzindua punguzo la bei la bidhaa kwa asilimia 50%zinazouzwa kwenye maduka ya hayo Tanzania, Kulia ni Meneja Mkuu wa Woolworths Joehans Bushiri,Hafla ya uzinduzi ilifanyika makao makuu ya woolworths jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wateja wa wakinunua bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika duka la Woolworths lililopo jijini Dar es Salaam, mara baada ya uzinduzi wa punguzo la bei litakaloduma kwa wiki Nnne kwa maduka yote nchini kwa asilimia 50% kwa bidhaa zote zinazouzwa katika maduka yote ya Woolworths yaliyopo jijini Arusha na Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment