
Mwasibu wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering, Bi.Magreth Tairo akizungumza wakati wa kuzindua kampuni hiyo,kwenye kiota cha City Louge jijini Dar es salaam.Kampuni hiyo inajishugusha na upikaji wa vyakula katika sherehe mbalimbali yenye makao yake makuu Kinondoni Manyanya Dar es Salaam.

Wadau walioudhuria katika hafla hiyo wakifuatilia uzinduzi huo.

Timu nzima ya waanzilishi na wamiliki wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Mwasibu wa Kampuni ya Nivaana Quality service and caterin, Bi.Magreth Tairo (wapili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo.

Bi. Magreth Tairo akiteta jambo na wadau wakati wa hafla hiyo.

Kushoto ni Mkurugenzi wa oasis of sivana tz ltd,Alfa Minga akiwa kwenye picha ya pamoja na Magreth Minga ambaye ni mkewe.

Timu nzima ya NIVANAA wakiwa kwenye picha ya pamoja.na familia yao wakati wa hafla hiyo iliofanyika jijini dar es salaam hivi karibuni.

Wageni waalikwa.


Hii ni moja wapo ya bidhaa zinazotengenezwa na Kampuni ya Nivaana Quality service and catering.



Nivanaaaaaaaa you look so amaizing jamani . Nilikula vyakula vyenu vilikua vitamu saaaana. Big up
ReplyDeletemmpembendeza sanaa.....
ReplyDeletejamani naombeni mnitumie contact zenu nataka kufanya biashara na nyinyi nivanaa
ReplyDeleteNIVANAA CATERING tunapatika Kinondoni Manyanya karibu na mwanamboka Petrol station. Namba zetu za simu ni 0718294971 / 0654024566 / 0784926816 na Instagramme account yetu ni nivanaacatering. Karibu saaana for delicious meals and bites.
ReplyDeleteMko juu nivana, keep it up the food was so amazing..
ReplyDelete