Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pita pita zake,lilikatiza barabara hii ya Shekilango na kukuta wachapakazi hawa wakiendelea na kazi ya kukoroga na kupandiza zege kwenye moja ya jengo lilalojengwa katika eneo hili.uwingi huu wa wachapakazi hawa ni kutokana na ile kauli mbiu ya uchanganyaji zege kuwa huwa halilali,hivyo ni lazima zoezi likianza ni mpaka limalizike.



No comments:
Post a Comment