Baadhi
ya wafanya biasha wa maeneo ya mwanjelwa na sido jijini mbeya mapema
leo katika vurugu ya wafanyabiashara hao baada ya kugombana wao kwa wao
kutokana na baadhi ya wafanya biashara hao kuvunja makubaliano ya
kutofungua maduka yao kwa mgomo unao endelea nchi nzima hatimae baadhi
kufungua na kuanzisha vurugu jijini humo.picha na Fadhiri Atick
(Mr.Pengo) Mbeya.
baadhi ya wafanya biashara wakiwa katika hekaheka ya vurugu iliyotokea asubuhi ya leo jiji mbeya.
kila mtu akiwa katika pilika pilika katika eneo la sido ziliko anzia vurugu hizo.
kikosi cha kutuliza gasia kikiwa katika eneo la tukio kutuliza vulugu zilizo kuwa zikiendelea.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
No comments:
Post a Comment