HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 26, 2015

MASUMBWI YA KOKOLIKO SI MCHEZO

 siunajuwa usicho kipenda haifahi kumtendea mwenzio ndio seke seke hili lilipo ibuka baada ya kokoliko mmoja kumuanza mwenzie kwa kumchukulia kizuli chake mwenye suti nyekundu na kuanza kukimbizwa baada ya ukorofi alio utenda mwenye suti nyeupe.
kwa bahati nzuri mwenye chake kapata nguvu kwenye haki yake nikawaida ndipo kokoliko mwekundu alibahatika kumfikia mbaya wake na kuanza kumpa kisago sambamba na ruhusa kutoka kwa kocha wao nyuma yao akiwaandalia zawadi kwa atakaeibuka mshindi wa mpambano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad