kamera ya mtaa kwa mtaa blog katika ziara fupi ya kamera mani wake wa globu ya jamii jijini nyanda za juu kusini na kukuta baadhi ya maeneo yaliyo kuwa ni sehemu maalum ya kuifadhia takataka baadhi yakiwa nadhifu na kuwekwa mabango ya kuonya kuchukuliwa hatuwa kwa watakao bainika kuchafua mazingira katika maeneo hayo kutokana na huduma zitolewazo za magari kupita nyumba moja baada ya nyingine kukusanya takataka huku maeneo mengine yakiendelea na uchafuzi wa mazingira tena kwa hali ya juu jijini humo.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) globu ya jamii mbeya.
hili ni eneo la forest ya zamani mambo hapa ni mswano kabisa
hii nayo ilikuwa sehemu ya kuhifadhia taka napo mbambo ni murua kabisa.
hapa sasa wataaramu wa kuagiza uchafu tena hata wakiwa mbali washafanya yao.
hili ni eneo la shule ya msingi maanga hali hapa ndio mbaya zaidi ingawa kuna maguba mawili ya kuhifadhia takataka cheki jinsi wakazi wa eneo hili walivyo kosa ustaarabu kwa kutupa taka taka ovyo ovyo ivi jamani tumeshindwa kabisa kuwaiga wenzetu kutunza mazingira kwani wanao athilika zaidi ni wakazi na wanafunzi wanao soma shule hiyo tubadilike, na tuamke wakazi wa maeneo mbalimbali jijini mbeya katika swala zima la usafi wa mazingira.
hali hapa inatisha wausika tusilifumbie macho hili.
Thursday, March 26, 2015

Home
Unlabelled
BAADHI YA MAENEO JIJINI MBEYA YAPIGWA MSASA KWA UTUNZAJI WA MAZINGIRA LAKINI MENGINE YAMEKITHILI KWA UCHAFU WA MAZINGIRA JIJINI HIMO.
BAADHI YA MAENEO JIJINI MBEYA YAPIGWA MSASA KWA UTUNZAJI WA MAZINGIRA LAKINI MENGINE YAMEKITHILI KWA UCHAFU WA MAZINGIRA JIJINI HIMO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment