HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 15, 2015

Mh. Lowassa apokea michango zaidi ili achukue fomu ya kuwania Urais 2015

Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea mchango wa kiasi Cha shilingi milioni 2,567,600 kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii kanda ya kaskazini ili achukue fomu za kuwania urais kupitia CCM.hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mh Lowassa,Monduli Jumapili Machi 15,2015.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad