HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 18, 2015

Hivi sheria za Barabarani haziwahusu hawa Waendesha Bodaboda???

 Mara nyingi nimekuwa nikiona waendesha bodaboda wengi wakivunja sheria za Barabarani tena kwa makusudi kabisa,bila ya kuchukuliwa hatua zozote. Kuna wakati wanakatisha hata mbele ya magari yanayotoka upande mwingine na kuendelea na hamsini zao.mfano katika picha hizi ambapo taa zinaonyesha kuzuia vyombo vyote vya moto vilivyopo upande huu pamoja na kwamba kuna Askari pia,lakini wao wamepita sehemu ya kuvukia na kwenda kumlia taimingi Askari huyo ili wapite.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad