Siku hizi hapa Dar hakuna kitu cha bure tena kama ilivyokuwa zamani,siku hizi kila kitu kinalipiwa.hizo coins hapo mezani zinauzwa kama ilivyo kwa hizo pipi na bigijii.hapo ukija na hela yako ya noti na unataka kuchenji, basi jua chenji utapata lakini utakatwa kiasi fulani cha kulipia chenji hizo.Upo hapo???

No comments:
Post a Comment