HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 26, 2015

HII INAITWA KUVUKA KUPOKEZANA

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog leo katika katiza katiza yake huko mitaani,ilikatiza maeneo ya Mtaa wa Msimbazi,Kariakoo jijini Dar es salaam na kukutana na taswira hizi za watu wakivuka kwenye dimbwi la maji yaliyotuama kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini,kwa mtindo wa kupokezana.kwani kivuko kilichowekwa katika dimbwi hilo ni vipande vya matofali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad