Mabalozi wa kilaji cha Baileys katika Usiku wa Warembo ndani ya Kiota cha Samaki Samaki,Sylvia John (shoto) na Rahma Zumba wakiweka vituzz tayari kwa kuvipeleka kwa wadau wao waliotia timu kwenye kiota hicho,kilichopo katikati ya jiji la Dar es salaam.
Balozi wa kilaji cha Baileys katika Usiku wa Warembo ndani ya Kiota cha Samaki Samaki,Rahma Zumba (shoto) pamoja na Mdau wa Samaki Samaki wakiwa wameshika chupa la kilaji mwanana cha Baileys.
Wadau wakipoza koo kwa vilaji laini ndani ya kiota cha Samaki Samaki.

No comments:
Post a Comment