HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 9, 2015

LILE SHIMOZZ PALE USONI MWA JENGO LA AIR TANZANIA HATIMAE LIMEPATIWA UFUMBUZI

 Ni juzi juzi tu tuliweka picha hapa barazani kuonyesha shimozz korofi lilipo usomi mwa jengo la Air Tanzania,katikati ya jiji la Dar.lakini kwa bahari nzuri leo tumekatiza na kukuta limepatiwa ufumbuzi kwa kuwekewa mfuniko bora kabisa (kama ionekanavyo hapa) ulioambatana kabustani ka kiaina.kiukweli pongezi zinahitajika kwa walioitika wito huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad