Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman,Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Asha-Rose Migiro pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar,Mh. Omar Othman Makungu wakiimba wimbo wa taifa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Majaji wastaafu wakishiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.
Rais Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Majaji wastaafu waliohudhulia kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI









No comments:
Post a Comment