Nguzo tatu za umeme zaachia mizizi mara baada ya mvua kali ya upepo ilio nyesha katika baadhi ya maeneo jijini mbeya, hii ni baadhi ya nguzo ya umeme pichani iliyo polomoka kutokana na kashi kashi ya mvua kubwa ya upepo.picha na Fadhiri Atick Mr.Pengo Mbeya.
Moja ya wakazi wa Ilemi walio nusulika na sekeseke la kupolomoka kwa nguzo za umeme.
palikua hapatoshi kabla ya tanesco kukata umeme ukigusa tuu unalo.
Nguzo nyingine ikiwa imepolomokea kwenye kibanda cha mbao.
Nyumba ikiwa na jeraha la kudhuriwa na nguzo ya umeme na hatimae kupasua kipande cha bati
"eeee tataaa eee"
Baadhi ya wakazi wa ilemi wakishuhudia tukio hilo la kupolomoka kwa nguzo za umeme.
Friday, February 20, 2015

Home
Unlabelled
NGUZO TATU ZA UMEME ZAPOLOMOKA MTAA WA ILEMI BAADA YA MVUA KALI YA UPEPO ILIO NYESHA JIJINI MBEYA.
NGUZO TATU ZA UMEME ZAPOLOMOKA MTAA WA ILEMI BAADA YA MVUA KALI YA UPEPO ILIO NYESHA JIJINI MBEYA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment