Mzee wa vyombo mingi akiwa kitaani kama alivyo naswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog katika harakati zake za kuuza vyombo vyake kwa kina nanaii pale mtaa wa jirani.
" Ehee mzee vyombo mingi umetuleteaa nini leoo"
"mama kuna jalo, chujio, skeli. mifagio, falampeni vikapu na vingine vingi tuu, kwani wewe unataka niniiii?????"
Thursday, February 5, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment