Kamera ya mtaa kwa mtaa imewanasa vijana wakiwa kwenye pikipiki zaidi ya watu wawili tofauti na sheria na utaratibu jinsi ulivyo zoeleka kwanye chombo hicho cha usafiri, pia ni hatari kwa wao pia kwa kuto jikinga na kitu chochote, bila kuvaa kofia za kujikinga na wana kata tuu mitaa kama kawaida.
No comments:
Post a Comment