"Huku sisi wala hata hatuna nongwa ya kung'ang'ania mkeka wa kisasa kwani mkeka huu waasili ni wa muda mrefu isitoshe tumeuzoea we mwenyewe siuna ona upitaji wetu wa watembea kwa miguu ulivyo sisi kushoto wenye magari kulia hatuna nogwa siee"
No comments:
Post a Comment