HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 9, 2015

HIVI NANI ANAKOMOLEWA KWA UHIFADHI TAKA WA NAMNA HII?

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pitapita zake huko mitaani,ilikatiza maeneo haya ya Barabara ya Ali Maua kwenda kutokea Tandale na kukuta lundo la viroba vya taka kando kando ya barabara hiyo jambo linalopekelea kutoleta muonekano mzuri katika maeneo hayo.nimekuwa nikijiuliza maswali kadhaa bila ya kupata majibu,moja ya maswali hayo ni Je, kuna anaekomolewa kuwa kufanya uchafuzi huu wa mazingira??? lakini kwa mie naona ni kama wakaza wa eneo husika ndio wanaojikomoa maana uchafu huu unaleta picha mbaya kwao wenyewe na kama kuna wengine basi wanafuatia tu.
 Niliposogea mbele kidogo nikakutana na muonekano wa vile vile tena.
hawa nao wameweka kwa uchache wake kama ionekanavyo hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad