HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 16, 2015

ECOBANK TANZANIA YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE SIKU YA WAPENDANAO

Mkuu wa Teller wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Tusekile Mwakyembe (kulia) akikabidhi zawadi Lucas Mosha siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.
Mkuu wa Teller wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Tusekile Mwakyembe (kulia) akikabidhi zawadi Geofrey Munyaga siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.
Meneja wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Patrick Njole (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Brandoni Kimoi ya siku ya wapendanao mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum. Kulia ni Baba yake, Dkt. Ekandumi Brandoni.
Mfanyakazi wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, Sperancia Tarimo (kulia) akikabidhi zawadi Emmanuel Kalolo siku ya wapendanao akiwa ni mmoja wa wateja wa mwanzo wa tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.
Wafanyakazi wa Benki ya Ecobank, Tawi la Mwenge, (kushoto) wakiwahudumia wateja wake baada ya kukabidhiwa zawadi siku ya wapendanao walipofika kwenye tawi hilo alipofika kupatiwa huduma jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilitoa zawadi kwa wateja wake wa mwanzo ikiwa ni jinsi ya kuwashukuru na kuonesha wanawajali wateja wake kwa zawadi maalum.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad