HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 7, 2015

DKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA UTUME (MISSION EXTRAVAGANZA) ZA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson alipowasili uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Februari 06,2015 kwa ajili ya uzinduzi wa sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa la Wasabato Duniani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Februari 06,2015 wakati wa uzinduzi wa sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo.
Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani wakiwa kwenye maandamano wakati wa sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) wa kanisa hilo zilizofanyika Februari 06,2015 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani kwenye sherehe za uzinduzi wa Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) zilizofanyika Februari 06,2015 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson katikati, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini mbalimbali kwenye uzinduzi wa sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo zilizofanyika Februari 06,2015 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Dkt. Ted Wilson baada ya kuzindua sherehe za Utume (MISSION EXTRAVAGANZA) za kanisa hilo zilizofanyika Februari 06,2013 uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad