Katika pita pita za kameramani wa Mtaa kwa Mtaa,leo alikatiza maeneo ya Sinza nanihii (jina husika kapuni) na kukuka vitoweo hivi vikiwa kwenye maandalizi ya kufanyiwa mambo ili jioni wateja wao waje kujisevia kwa staili ya "weka nusu na chips kavu".hivyo mie kama mjumbe nisieuwawa nawawasilishia mzigo huo.
Saturday, January 3, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment