HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 4, 2015

USAFIRI UNAPOLETA ZENGWE.

Wakati mwingine mdau inauma sana pindi unapo subiri jambo halafu likashindwa kupatikana kwa wakati inapelekea kukata tamaa kwa kukosa uvumilivu kama libeneke hili la mtaa kwa mtaa blog lilivyo mnasa mdau akisubiri usafili kando kando ya barabara iliopo chimala kuelekea mbeya.
 "daaa ivi ndo kusema kwamba magari leo yamegoma au mbona tutashindwa hata siku nyingine kuja kusalimia huku, masaa manne nipo hapaa sioni chochote kile ata baiskeli daaa......"

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad