HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 8, 2015

TASWIRAZZ ZA BIASHARA MBALI MBALI MABARABARANI WAKATI WA FOLENI JIJINI DAR

 Kwa wale wenye taaluma ya Mapishi,mavazi yao yapo kibao hivyo si lazima ukaanze kuweka foleni kwa kina fundi nanihii au kuyafungia safari mpaka madukani wakati maduka sasa hivi yamewafata mitaani.
 Maji,Soda na Juisi baridi bila kusahau leso za kufutia jasho.
 Mataulo makali makali na yakuvutia.
 Mito na enga za kuwekea nguo ndio usiseme,Ubuyu wa rangi pia upo.
 Wale wasomi pia hawajaachwa nyuma,maana vitabu vya kila aina vinapatikana huku Barabarani na hata vikombe vya chai pia.
 Makufuli.
 Ubuyu wa vimto pia haukosekanagi huku.
Hata haya aliyoyashika jamaa hapa pia yapo,ila kuuziwa ni mpaka ujieleze unaenda kufanyia nini.ukiwa haueleweki hauuziwi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad