Baana ya ombi la muda mrefu la wakazi wa eneo hili la Mtambani,Kinondoni la kutaka kuwekewa Mnara katika maalum katika eneo hili,hatimae ombi hilo limesikilizwa na uongozi husika na sasa Mnara wa nguvu umewekwa kama unavyoonekana pichani.
Wednesday, January 7, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment