hili ndio swimming pool letu la nguvu jijini mbeya lenyemvuto kama unavyo liona halipo mbali ni eneo la mwanjelwa kalibu na kituo cha mabasi yatokayo Stendi kuu kuelekea Uyole.
swimming pool letu alikauki mpaka juwa liwake mfululizoo we njoo tuu upige mbizi wengine wamesha anza kuja kama wanavyo onekana pichani.
No comments:
Post a Comment