Mzee wa mtaa kwa mtaa mapema alipo ingia katika nyumba moja iliopo jijini Mbeya kwa mtaalamu Yusuph Makaango mtaalamu wa kutengeneza chakula jijini humo akiwa ametingwa baada ya jiko lake kuingiwa na mafuta na kusababisha kijasho kimtoke kwa kuchota maji kuajili ya kupunguza mashetani ya jiko lake.
jiko hilo ambalo limepamba moto kutokana na mafuta kupenya ndani yake.
Mr.Yusuph makaango akiwa na kibeba maji chake tayari kwa kutuliza gasia kwenye jiko lake.
jiko likiendelea kuleta zengwe baada ya kujua kuwa linatakiwa kuzimwa.
plani (B) ikabidi itumike baada ya kuona moto huo unazidi kumchangamkia kwa uwakaji wa hali ya juu jikoni kwake.
mchaka mchaka leo kwa Yusuph Makaango.
hivi ndivyo hali ilivyo kuwa kwa mpishi huyu jijini Mbeya lakini mpaka sasa jiko hilo limemgwaya baada ya pulukushani hatimae kuzima pole bw.Yusuph Makaango kwa kilicho kukutaa. (
picha na Fadhiri Atick globu ya jamii Mbeya.)
No comments:
Post a Comment