Leo huku uswazi kwetu kishanuka,maana mvua iliyopiga asubuhi hii si ya kawaida.Watu wanaambaa ambaa na ukuta tu mpaka ndani.
Kutoka ndani kwenda msalani shughuli nyingine,kani maji yameenea kila mahala.
Hapa tunasubiri tu mvua ipungue tuanze kuyatoa maji nje.
No comments:
Post a Comment