HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 10, 2015

MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIDHIA RANGI,KIJITONYAMA JIJINI DAR

 Askari wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya,Kijitonyama usiku huu.Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo.hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.Mpaka Globu ya Jamii inaondoka eneo la tukio,eneo kuwa la moyo huo lililiwa limeshazimwa.
 Kazi ya kuzima moto huo ikiendelea kwa juhudi kubwa iliyofanywa na Vikosi mbali mbali vya zima moto jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje ya ghala hilo kama yanavyoonekana,hakuna alieweza kuokoa chochote.
Maafisa wa vikosi vya zimamoto wakijadiliana jambo mara baada ya kufanikiwa kuzima moto kwa asilia kubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad