HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 1, 2015

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MWANANA KATIKA UFUKWE WA KAWE BICHI,JIJINI DAR

 Hali ya Utulivu ndio sifa kubwa katika Ufukwe huu,kama ionekanavyo pichani.
 Kina sie tukiendelea kutabaruku katika Ufukwe huu wa Kawe,ambao ni moja ya fukwe mwanana na zisizo za kulipia jijini Dar.
 Ufukwe umetema ile mbaya,watu kutoka maeneo mbali mbali wapo hapa.
 Michezo kwa watoto nayo ipo kama kawa.
 Picha za Ukumbusho ni za kumwaga,maana wapiga picha wenzangu wapo kila kona.
 Maboya ya kuogelea kwa madogo ni kama haya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad