Beki wa timu ya Azam, Pascal Wawa akimdhibiti Mshambuliaji wa Yanga,Hamis Tambwe katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa jioni ya leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo.
Beki wa kushoto wa Azam FC,Shomary Kapombe akiangalia namna ya kumdhibiti Simon Msuva wa Yanga
No comments:
Post a Comment