HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 29, 2014

Bado na Kamba zao miguuni

Hawa ni kuku wageni ndani ya jiji,walikuja maalum kwa ajili ya Krismas lakini wakaleta ujanja ujanja,wakapeta mpaka leo.sasa ndio hawatokwi Kamba miguuni mpaka mwaka mpya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad