Kama kawa watoto na michezo kila siku, libeneke Mtaa kwa Mtaa moja kwa moja kitaani na
kuwanasa watoto wakisukuma kete kilingeni, kwa kucheza mchezo wa drafti
ambao ni mchezo unao chezwa mara nyingi na watu wazima lakini leo mchezo
huo umevamiwa na watoto.
watoto
hawa wakidigitali bila shaka huwenda wakawa wana cheza kamchezo ka
kubeti,maana kwa jinsi mashabiki wa wachezaji hao walivyo simama duu.
No comments:
Post a Comment