Cameramani
wa mtaa kwa mtaa blog katika pita pita zake za kila siku amebahatika
kunasa baadhi ya taswira za jamaa mmoja alie achiwa mtoto jijini mbeya,hakuweza kufahamika
kwa majina,aki mrusha rusha mtoto juu chini chini juu,bila kujali
lolote kutokea,isije ikawa ndo kama yale ya Uganda.
jamaa akiwa amembeba mtoto juu chini chini juu.
mtoto
akichekelea burudani ya bembea kutoka kwa jamaa bila kujali lolote
kutokea kwani eneo hilo lime zungukwa na vipande vya bati na mawemawe.
kijeba
kikiendelea kujitutumua kwa kuamsha hisia za taya na mishipa kwa lengo
la kumfurahisha mtoto huyo.picha na Fadhiri Atick mr pengo mtaa kwa
mtaa mbeya.
No comments:
Post a Comment