HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 14, 2014

UTAALAM UNAPOZIDI KIWANGO,MATOKEO YAKE NDIO HAYA

 Hii imetokea leo huko Mkoani Rukwa katika barabara ya TwoWay ambapo dereva wa gari hili alikuwa akionyesha manjonjo yake wakati akimkepa muendeza Bajaj kushindwa kulimudu gari lake na kwenda moja kwa moja mtaroni kama hivi.
 Majadiliano yakiendelea huku maswali lukuki yakitupwa kwa kaka dereva.
wakina naninihii wakiangalia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad