Taswira ya wanafunzi wakipiga kitabu kwa majadiliano,lakini usomaji wao unatia mashaka kwani anae mpa vitu mwezie kwa maelekezo ya apa na pale,lakini dogo yuko bize kusikiliza ngoma mpya ndani ya headfone zake,kwa mafikilio yako mdao Elimu tunaikomboa au inatukomboa.
No comments:
Post a Comment