weekend ikianza utajua tuu,kama libeneke hili la mtaa kwa mtaa blog lilivyo mnasa jamaa aki mwaga masongi ya nguvu kitaani,huku akiwa amemkumbatia rafiki yake kipenzi afaamikae kwa jina la (ngumu kumeza,nyepesi kulewa) hii inaashilia kuwa weekend ndo hiyo imeanza.
No comments:
Post a Comment