Baba akiwa amembeba mwanae kwa mtindo wa mbereko katika moja ya mitaa jijini Dar, huku akiwa Hana noma wala nini.madingi wengi hawependi kuwabeba watoto zao kwa mtindo huu hasa wale wa hapa jijini.hii imekaaje wadau?
No comments:
Post a Comment